Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kupata taarifa hiyo kupitia vyombo vyake vya upepelezi iliamua kufuatilia na kugundua makontena hayo yenye thamani ya zaidi ya milioni 300 yameingizwa nchini kinyemela na makampuni matatu ambayo bado yanafanyiwa uchunguzi.
Friday, November 27
November 27, 2015
Unknown
Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kupata taarifa hiyo kupitia vyombo vyake vya upepelezi iliamua kufuatilia na kugundua makontena hayo yenye thamani ya zaidi ya milioni 300 yameingizwa nchini kinyemela na makampuni matatu ambayo bado yanafanyiwa uchunguzi.
November 27, 2015
Unknown
Utendaji kazi wa Rais Dk. John Magufuli umekuwa topic kubwa sana kwenye mitandao mbalimbali ya Tanzania na nchi za jirani… Mwanzoni nilikusogezea tweets za Wakenya zikimgusa Rais Magufuli kwenye kona mbalimbali za utendaji kazi wake ambazo nyingi zilikuwa za kumpongeza.
Leo nimechukua tena time ya kutembelea tena mtandao wa kijamii wa Twitter na huko nimekutana na ‘hashtag’ mpya ya Rais Magufuli, yenyewe inaitwa ‘#WhatWouldMagufuliDo’ (‘#MagufuliAngefanyaNini’) ambayo kuanzia jana ilianza kuweka headlines kwenye twitter kutokana na matumizi yake!
November 27, 2015
Unknown
Serikali
imekanusha taarifa zinazosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa amekomba
fedha hazina na kuiacha Serikali bila fungu lolote.
Hayo
yamesemwa jijini dare es salaam na Kamishina wa Bajeti kutoka Wizara ya
Fedha Bwa. John Cheyo huku akiwataka wananchi kupuuza habari hiyo kwani
hazina ukweli wowote.
“Hazina
inazo pesa za kutosha na tunajivunia kufanya uchaguzi wa mwaka huu,
kununua mashine za BVR kwa kutumia pesa za watanzania bila kutegemea
msaada wowote kutoka nje ya nchi na kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu
ya juu mwaka huu” alisema Bwa. Cheyo.
Monday, November 23
November 23, 2015
Unknown
Rapa maarufu wa Marekani, Mathew Matthers Eminem.
UNAWEZA kudhani ni utani lakini hili limetokea
nchini Uingereza baada ya jopo la watafiti nchini humo kutoa utafiti wao
kuwa nyimbo za rapa maarufu wa Marekani, Mathew Matthers zinaongeza
morali ya mazoezi na spidi kwa wanamichezo.
November 23, 2015
Unknown
Kwa mujibu wa Sheria ya Sikukuu za Kitaifa (The Public Holidays Act, Cap 35) pamoja na Sheria zingine zinazompa mamlaka Rais kutangaza siku yoyote kuwa sikukuu au mapumziko, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameamua kuwa maadhimisho ya Sherehe za Uhuru na Jamhuri zitakazofanyika tarehe 9 Desemba, 2015, yatumike kwa kufanya kazi.
November 23, 2015
Unknown
Uamuzi
wa Rais Dk. John Magufuli kueleza kwa kina namna safari holela za nje
ya nchi zinavyoligharimu taifa mabilioni ya fedha, umeianika wazi
Serikali iliyopita ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na
kuibua mjadala mkubwa miongoni mwa baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya
siasa nchini.
Wachambuzi
mbalimbali wa masuala ya kiasiasa wanasema kuwa ujasiri wa Rais
Magufuli kueleza bila kificho jinsi safari za nje zinavyogharimu taifa
kabla ya kutangaza msimamo mkali wa kuzidhibiti umedhihirisha pasi na
shaka kuwa rais huyo mpya amedhamiria kubana matumizi holela ya fedha za
serikali na badala yake kuzielekeza katika shughuli za maendeleo kwa
nia ya kuboresha maisha ya Watanzania.
Wakati
akilihutubia Bunge la 11 Ijumaa iliyopita kisha kulizindua rasmi, Rais
Magufuli aliwataka wabunge na Watanzania wote wamuunge mkono katika
uamuzi wake wa kupiga marufuku safari holela za nje huku akisisitiza
kuwa kwa kufanya hivyo, fedha nyingi zinazopotea zinaweza kutumiwa
katika kuboresha huduma za jamii.
November 23, 2015
Unknown
KESI ya kuagwa kwa heshima kwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita, Marehemu Alphonce Mawazo, imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mwanza.
Kesi
hiyo namba 10 ya mwaka 2015, imefunguliwa jana na familia ya marehemu
Mawazo, imepangwa kusikilizwa kesho baada ya washitakiwa, Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo na mwanasheria mkuu wa Serikali
kupelekewa mashtaka.
Kesi
hiyo inayosimamiwa na mawakili watatu, John Mallya, James Millya na
Paul Kipeja, leo ilikuwa ni mara ya kwanza kusikilizwa mahakamani.
Akizungumza
na waandishi wa habari jana, Mwanasheria wa Chadema, John Mallya,
alidai kuwa kesi hiyo itatajwa leo baada ya washitakiwa hao kupelekewa
samansi ya kesi inayowakabili.
“Tunashukru
Jaji, Lameck Mlacha, amekubali kuisikiliza, kesi hii tuliofungua kwa
hati ya dharura, katika mahakama ya kanda kuu ya Mwanza, kwani ni haki
ya msingi kuagwa kwa mtu yeyote,” amesema Mallya.
Wednesday, November 11
November 11, 2015
Unknown
Headlines za Mbwana Samatta kutwaa kiatu cha dhahabu kwa kuibuka mfungaji bora wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika bado zinazidi kuchukua nafasi, baada ya November 11 kurejea Dar Es Salaam akitokea Lubumbashi Congo ambako ndio makao makuu ya klabu yake ya TP Mazembe ambayo Jumapili ya November 8 ilitwaa taji la klabu Bingwa Afrika kwa kuifunga klabu USM Alger ya Algeria kwa jumla ya goli 4-1.
Hizi ni pichaz za mapokezi ya Mbwana Samatta aliyoyapa kutoka kwa familia yake baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Dar Es Salaam, baada ya kurudi Tanzania Samatta atajiunga na kikosi cha Taifa Stars ambacho kinarejea leo November 11 saa 12 jioni kutokea Afrika Kusini kilipokuwa kimeweka kambi ya maandalizi ya m
November 11, 2015
Unknown
Leo Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe
pamoja na aliyekuwa mgombea Urais wa chama hicho Anna Mghwira
wamezungumza na waandishi wa habari ikiwa ni mara ya kwanza tangu
kumalizika kwa uchaguzi mkuu.
Katika mkutano huo Mwenyekiti wa chama hicho Anna Mgwhira alitumia nafasi hiyo kuweza kuwashukuru Watanzania kwa kujitokeza kuwasuport katika kipindi chote cha kampeni na kukifanya chama kuzidi kuwa imara zaidi.
Zitto Kabwe naye alizungumzia mambo mbalimbali ikiwemo kumpongeza Mwenyekiri wake Anna Mgwhira kwa kumsaidia kukitangaza chama hicho na kupandisha taswira ya chama chao mbele ya umma.
“Kazi iliyopo mbele yetu ni kukijenga chama na kukifanya kifike mbali zaidi, tumefanikiwa kupata kiti kimoja cha ubunge lakini tutatumia kiti hicho kupaza sauti ndani ya bunge..ikumbukwe sisi tulisema waziwazi kuhusu rushwa tofauti na vyama vingine vya upinzani ambavyo havikuwa wazi”..Zitto
Katika mkutano huo Mwenyekiti wa chama hicho Anna Mgwhira alitumia nafasi hiyo kuweza kuwashukuru Watanzania kwa kujitokeza kuwasuport katika kipindi chote cha kampeni na kukifanya chama kuzidi kuwa imara zaidi.
Zitto Kabwe naye alizungumzia mambo mbalimbali ikiwemo kumpongeza Mwenyekiri wake Anna Mgwhira kwa kumsaidia kukitangaza chama hicho na kupandisha taswira ya chama chao mbele ya umma.
“Kazi iliyopo mbele yetu ni kukijenga chama na kukifanya kifike mbali zaidi, tumefanikiwa kupata kiti kimoja cha ubunge lakini tutatumia kiti hicho kupaza sauti ndani ya bunge..ikumbukwe sisi tulisema waziwazi kuhusu rushwa tofauti na vyama vingine vya upinzani ambavyo havikuwa wazi”..Zitto
November 11, 2015
Unknown
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli tayari ameapishwa na kuanza kazi… kwa upande wa Wabunge wenyewe bado.
Kinachosubiriwa ni kuitishwa kwa Bunge la 11 ambapo Spika Mteule pamoja na Wabunge wote wataapishwa… kingine kitakachofanyika ni uthibitisho wa jina la Waziri Mkuu, uchaguzi wa Naibu Spika na ufunguzi rasmi wa Bunge la 11.
Kulikuwa na stori nyingi sana wakati wa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu ikiwemo
matokeo kukataliwa na baadhi ya Wagombea, kwingine Uchaguzi
haukufanyika kabisa, kwingine uchaguzi ulisogezwa mbele kwa sababu
mbalimbali. Lakini mpaka leo November 11 2015 hapa ninayo majina ya Wabunge 256 ambayo Tume ya Uchaguzi NEC imeyathibitisha kwamba wamepita kwenye Uchaguzi na wanasubiri kuapishwa.
November 11, 2015
Unknown
JAMHURI YA
MUUNGANO WA TANZANIA
TUME
YA TAIFA YA UCHAGUZI
|
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA KUTOKANA
NA VIFO VYA WAGOMBEA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
inawatangazia wananchi wote kuwa Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Majimbo
na Kata ambazo hazikufanya Uchaguzi tarehe 25 Octoba 2015 kwa sababu za vifo
vya wagombea sasa Uchaguzi huu utafanyika tarehe22 Novemba 2015; 13 Desemba,
2015 na 20 Desemba, 2015.
Majimbo,Kata na tarehe watazofanya
Uchaguzi ni kama ifuatavyo:
22 Novemba 2015
Na.
|
JIMBO
|
MKOA
|
1.
|
LUSHOTO
|
TANGA
|
2.
|
ULANGA MASHARIKI
|
MOROGORO
|
November 11, 2015
Unknown
Aliyekuwa
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla
ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib.
Aliyekuwa
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu
Mohamed
Tuesday, November 10
November 10, 2015
Unknown
Siku chache baada ya kufuta safari za vigogo nje ya nchi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli anakusudia kufyeka wizara 8 miongoni mwa 28 zilizopo sasa ili kubana matumizi.
Hatua
hiyo ya Dr Magufuli ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi
alizozitoa kwa wananchi wakati akijinadi kwenye kampeni zake za
kuwania Urais kupitia Chama cha Mapinduzi-CCM kwamba atapunguza
ukubwa wa serikali kwa kuunda baraza dogo la mawaziri.
Katika
miaka 10 ya uongozi wa Rais Kikwete, kumekuwa na malalamiko ya
ukubwa wa baraza la Mawaziri huku baadhi ya wizara zikiwa na
mawaziri watatu.
November 10, 2015
Unknown
Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Frederick Mwakalebela amefungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Iringa mjini yaliyompa ushindi Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema huku akiitaja kofia ya M4C katika shtaka lake.
Msajili
msaidizi wa mahakama kuu ya kanda ya Iringa , Ruth Massama amesema kuwa
Mwakalebela alifungua shtaka hilo mahakamani hapo Oktoba 30 mwaka huu.
Katika
shitaka hilo, pamoja na mambo mengine, Mwakalebela anamtuhumu Msigwa
kwa kuvunja sheria ya uchaguzi kwa kuvaa kofia yenye nembo ya M4C
inayotumiwa na Chadema, katika siku ya kupiga kura.
Kadhalika,
mlalamikaji huyo anamtuhumu mwangalizi wa uchaguzi kwa kukiuka sheria
na kanuni za uchaguzi wakati wa zoezi la kupiga na kuhesabu kura.
Katika
madai yake, Mwakalebela ameeleza kuwa katika kata ya DaboDabo
alikataliwa kuingia katika kituo cha kupigia kura wakati wakati
mshindani wake huyo aliruhusiwa kuingia bila kizuizi chochote.
Msimamizi
wa uchaguzi katika jimbo la Iringa Mjini alimtangaza Mchungaji Peter
Msigwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo hivyo kupata nafasi ya kuendelea
kuliwakilisha jimbo hilo kwa muhula wa pili.
November 10, 2015
Unknown
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa ushauri wake kwa kiongozi mkuu wa nchi ili kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo.
Zitto
ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook, japo hakutaja jina lakini
maelezo yake yanaonesha kuwa mwenye uwezo wa kufanya maamuzi hayo ni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo, ndiye mlengwa wa ujumbe
huo.
Hivi ndivyo alivyoandika:
November 10, 2015
Unknown
Justin Bieber.
KAMA wewe ni mdau wa burudani, Jina la JUSTIN BIEBER
linaweza lisiwe geni masikioni mwako hasa kutokana na umaarufu mkubwa
alioupata kupitia kipaji chake cha uimbaji tangu akiwa kijana mdogo.Bieber aliyeanza kutambulika mwaka 2008 akiwa na miaka 14 na kujulikana zaidi kupitia kibao chake cha Baby alichomshirikisha mkali wa Hip Hop,Ludacris, ameweza kuwa mmoja kati ya wasanii wenye umri mdogo wanaoingiza mkwanja wa kutosha kupitia muziki wake huku mafanikio yake yakitumika kama mfano wa vijana wengine wanaochipukia kwenye tasnia hiyo.
November 10, 2015
Unknown
Mkongwe wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya For You, Abubakari Katwila ‘Q Chillah’.
Mkongwe wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya For You, Abubakari
Katwila ‘Q Chillah’ amefunguka kuwa ukubwa wa jina lake ndiyo
umemrudisha kwenye gemu kwa kasi na kumfanya ajitume sana kufanya muziki
wake.kizungumza na paparazi wetu, Q Chillah alisema kuwa katika kipindi alichokuwa kimya aligundua kuwa watu wengi walikuwa wakimiss kazi zake jambo ambalo lilimfanya agundue ukubwa wa jina lake hivyo kuamua kupambana kwenye muziki ili arudishe heshima aliyojitengenezea siku za nyuma.
November 10, 2015
Unknown
Utamaduni wa wanafunzi kuwatunga majina
waalimu wao ulikuwepo toka zamani na mara nyingi mwalimu anaweza
kutungwa jina ambalo yeye akawa halijui ila kutokana na tabia na
muonekano wake basi wanafunzi hupenda kumtunga jina linaloendana na
tabia zake kama ni mkali usishangae ukisikia akipewa jina la ajabu kama
mnoko na kadhalika.
Stori zilizotoka mtandaoni ni kuwa wachezaji wa klabu ya Manchester United wameamua kumtunga jina kocha wao raia wa Uholanzi Louis van Gaal, wachezaji wa Man U
November 10, 2015
Unknown
Kwenye countdown zenye headlines za
Siasa, bado macho na masikio ya wengi yako kwenye maeneo machache
sasahivi, nani ni Waziri Mkuu TZ? Nani Spika wa Bunge TZ?
Majibu yatapatikana soon ila kwa sasa bado… inawezekana Waziri Mkuu akateuliwa toka chama cha upinzani?
Nimempata kwenye exclusive Dk.Tulia Ackson ambaye ni Wakili wa Serikali, ana majibu haya kuhusu uwezekano wa Serikali ya Tanzania kuongozwa na
Saturday, November 7
November 07, 2015
Unknown
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth
Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali
mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Lulu alisema amekuwa akiona maon
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Lulu alisema amekuwa akiona maon
November 07, 2015
Unknown
Straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo.
SIMBA haitaki mchezo kabisa katika kujenga kikosi chake,
kwani imetenga kiasi cha dau la dola 50,000 ambazo ni zaidi ya Sh
milioni 100 ili iweze kumsajili straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit
Mavugo.
Laudit Mavugo (kushoto) akifanya yake.
Nguvu yote hiyo imewekwa na Simba kuhakikisha Mavugo anatua kikosini
kwao aungane na Hamis Kiiza kuipa nguvu safu ya ushambuliaji ya timu
hiyo iliyofunga mabao 15 hadi sasa.Awali kabla ya kuanza kwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara, Simba ilimtaka Mavugo na kumtangulizia dola 10,000 lakini uongozi wa Vital’O uliweka ngumu ukitaka dola 100,000 ili umuachie straika huyo na dili likaishia hapo.
Wednesday, November 4
November 04, 2015
Unknown
KATIKA maisha, kila mmoja ana ndoto za kufanikiwa
katika maisha. Hata hivyo, wapo watu ambao wamepitia njia ngumu kwenda
kwenye mafanikio zilizowafanya kunyanyasika, kudharaulika na hata
kupigwa. Wafuatao ni baadhi ya mastaa ambao awali, walionekana si
chochote, lakini leo hawakamatiki.
HAPANA shaka kwamba Sandra Bullock ni kivutio kwa mashabiki wengi wa filamu na kila mmoja angependa kumuona, achilia mbali kuwa licha ya umri wake wa miaka 50, anaonekana kama kijana kwa miaka kumi nyuma.
Jennifer Aniston.
Sandra BullockHAPANA shaka kwamba Sandra Bullock ni kivutio kwa mashabiki wengi wa filamu na kila mmoja angependa kumuona, achilia mbali kuwa licha ya umri wake wa miaka 50, anaonekana kama kijana kwa miaka kumi nyuma.
November 04, 2015
Unknown
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho,
Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.
Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania
kushiriki
November 04, 2015
Unknown
Hakuna anayekimbia kwa kasi zaidi yake: duma wanaweza kufikia kasi ya hadi kilomita 120 kwa saa. Ni jambo linaloendana na mazowea yao ya kuwinda. Wanyama hao huwinda mchana, ambapo wanamnyemelea mnyama mwingine na kisha kukimbia kwa kasi na kumkamata kwa kushtukiza. Hata hivyo hawawezi kukimbia kwa muda mrefu na hivyo wasipomkamata swala baada ya mita kama mia moja wanakata tamaa.
Monday, November 2
November 02, 2015
Unknown
Mamlaka kuu
inayosimamia upangaji wa uzazi nchini Uchina imeonya wanandoa nchini
humo kwamba sharti waendelee kutii agizo la kuwa na mtoto mmoja kwenye
familia hadi sheria ifanyiwe marekebisho mwezi Machi.
Subscribe to:
Posts (Atom)