Mrembo akikatiza katika mitaa ya Jiji la Hong Kong bila kuvaa nguo za ndani.
...Akielekea kufanya manunuzi kwenye maduka.
...Akinunua tiketi ya treni.
...Akiwa ndani ya treni bila kugundulika kuwa hajavaa nguzo za ndani.
...Akipakwa rangi aonekane kama kavaa 'jeans'.
...Akivaa tisheti yake baada ya kutoka kwa mchoraji.
...Akielekea mitaani baada ya kupakwa rangi.
... Mrembo huyo akiwa katika pozi bila kugundulika kuwa hana nguo za ndani.
KITUKO! mwanamke mmoja ametembea akiwa hana nguo yoyote ya ndani
kuanzia chini ya tumbo lake na kukatiza mitaa ya Jiji la Hong Kong
nchini China bila kugundulika na mtu yeyote.Mrembo huyo aliyekuwa amevalia tisheti, viatu na begi mgongoni alikatisha mitaani baada ya kupakwa rangi na kumfanya aonekane kama kavaa 'jeans' ya kubana wakati hakuvaa chochote.
Akiwa bila nguo za ndani, mrembo huyo alikatiza katika maduka ya bidhaa na kufanya manunuzi, kutembea barabarani, kununua tiketi na kuingia kwenye treni bila kugundulika na mtu.
Mrembo huyo alipakwa rangi hizo zilizomfanya aonekane kavaa 'jeans' na mchoraji aitwaye Sandra Bakker. Mbali na mrembo huyo kutovaa nguo za ndani, tisheti yake ilikuwa imeandikwa maneno haya 'Kutovaa nguo za ndani ni nguo za ndani bora zaidi'
Baada ya kuzunguka sana mrembo huyo aliamua
kutoa begi lake mgongoni na kufanya maneno aliyoandika kwenye tisheti
yake ya 'Kutovaa nguo za ndani ni nguo za ndani bora zaidi' kusomeka
ndipo ilipogungulika kuwa hakuwa na nguo za ndani na kuamua kupiga picha
na baadhi ya watu huku wengine wakimpiga picha.
0 comments:
Post a Comment