HISIA
za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki
ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda! Mapenzi ni maisha ya mtu
katika uhalisia wake.
Maana yake ni kwamba, kama utakuwa na mtu ambaye moyo wako hauna mapendo ya dhati kwake, tafsiri yake ni kwamba, maisha yako yote yatakuwa yenye mateso kila siku.

RSS Feed
Twitter
October 18, 2013
Unknown