Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake.
Queen Darleen akimlisha keki Diamond.
Meneja wa Diamond, Babu Tale (kulia), akimmwagia maji Queen Darleen.
Msanii wa Bongo Fleva, Mwasiti Alimasi na wenzake awakimtaabisha Queen Darleen kwa kumpakaa keki.
Baadhi ya madansa wa Diamond
wakimtaabisha Queen Darleen kwa kummwagia mchanga na maji kama ishara ya
kumpongeza muda mfupi baada ya siku ya kuzaliwa kwake kutimia.
Shetta akimmwagia maji Queen Darleen.
Halima Kimwana akilishwa keki.
Queen Darleen akiwa kwenye pozi na ndugu jamaa na marafiki wakati wa kulishana keki.
Queen Darleen akimlisha keki rafiki yake kipenzi aitwaye Mwengi.
Mmoja wa kaka wa Queen Darleen akilishwa keki.
Msanii chipukizi katika lebo ya WCB, Harmonizer akilishwa keki.
Mwasiti akishirikiana na wenzake kumtaabisha kwa kumpaka tope Queen Darleen.
Queen Darleen akiwa chini huku baadhi ya marafiki zake wakimmwagia maji.
Babu Tale akimuongoza Queen Darleen tayari kwa kumuonyesha 'surprise' ya gari.
Msanii wa Bongo Fleva, Msamy (kulia), akiwa amekumbatiana na Queen Darleen mara baada ya kulishwa keki.
MKALI wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na
Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, usiku wa kuamkia leo amemfanyia
bonge la 'surprise' dada yake Queen Darleen kwa kumpatia gari mpya aina
ya Toyota Ractis.
'Surprise' hiyo ilifanyikia kwenye eneo
la ofisi za Wasafi Classic Baby zilizopo Sinza Mori jijini Dar es
Salaam, ambapo Queen Darleen alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa
punde tu baada ya saa 6 usiku kutimia.
0 comments:
Post a Comment