Thursday, October 15

October 15 2015 moja ya taarifa kubwa za siku ni kifo cha mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye alikua mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi kufariki dunia akiwa hospitalini huko Lindi ambapo taarifa za mwanzo zinasema alikua akisumbuliwa na shinikizo la damu.
makaidi 2
Taarifa zaidi nitazidi kuzitoa kadri zitavyonifikia…. RIP Emmanuel Makaidi.

0 comments:

-