Kwenye list ya Matajiri wakubwa wanaotambulika Duniani kwa sasa yuko pia mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote ambaye ni Raia wa Nigeria, Afrika anatajwa kuwa tajiri wa kwanza kabisa.
Utajiri wake unatokana na nguvu kubwa
ambayo amewekeza kwenye Biashara na Miradi mbalimbali ikiwemo Miradi ya
Sukari, Cement, Mafuta na Biashara nyingine kubwakubwa.
Alikuja Tanzania pia akahitaji kuwekeza moja ya Miradi yake mikubwa, akapata ruhusa ya kufanya ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mtwara… ujenzi umefikia pazuri na Rais Kikwete alifika pia kwa ajili ya Sherehe za uzinduzi wa Kiwanda hicho.
:Pichaz zote kutoka Blog ya Issa Michuzi >>> MICHUZI BLOG
0 comments:
Post a Comment