Friday, October 30


Mwanamitindo maarufu, Kim Kardashian.
New York,Marekani
MWANAMITINDO maarufu, Kim Kardashian kwa kushirikiana na ndugu zake Khloe, Kourtney, Kendall na Kylie hivi karibuni aliangusha bonge la sherehe ‘baby shower’ ya mwanaye wa kiume anayetarajia kumpata.


....Akiwa na ndugu zake.
Hafla hiyo ilifanyikia katika Ukumbi wa Friend’s Beverly Hills Estate huko New York, Marekani ambapo baada ya hapo ndugu zake wote walitupia picha za ‘selfie’ kwenye mitandao yao ya kijamii huku wakiandika chini yake maandishi ya kumpongeza dada yao kwa hatua aliyoifikia.

“Jumapili ya dada yetu, mzuka wa baby shower, hivi ndivyo tunafanya kila mara,” waliandika Klylie , Khloe na Kourtney kwenye akaunti zao za Instargram.

0 comments:

-