Monday, September 7

Kama umekua ukifuatilia akaunti za Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari tangu mtoto wao Tiffah azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo anaonekana mtoto wao huyo na sehemu kubwa hua ni kuanzia kwenye kidevu kushuka chini.

tif 
Hii imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa kuchukua mfumo huu wa kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri fulani ufike,Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona.

0 comments:

-