Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
HAYAWI hayawi, hatimaye
yametimia, lile tamasha la burudani lililosubiriwa kwa hamu kubwa la
Usiku wa Mastaa Temeke hatimaye litashuhudiwa leo na mashabiki wa muziki
wa Kibongo, likitarajiwa kushushwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani,
Dar Live uliopo Mbagala-Zakhiem jijini Dar es Salaam.
Isha Mashauzi.
FM Academia 'Wazee waNgwasuma'
Dhamira kubwa katika tamasha hilo ni
utoaji wa zawadi kwa mastaa balimbali hapa nchini ambao wamekuwa na
mchango mkubwa katika kuiwakilisha vema Wilaya ya Temeke na viunga
vyake.
Banana Zoro
Mratibu wa tamasha hilo, Richard Yalomba
amesema mbali na kutoa zawadi hizo, pia siku hiyo kutatawaliwa na
burudani za kutosha kutoka Kundi la FM Academia na Isha Mashauzi ambazo
zitaanza saa moja usiku mpaka majogoo.
Happiness Millen Magesse
Miongoni mwa mastaa watakaoondoka na
medali kutokana na mchango wao kuwa ni wanamitindo, Happiness Millen
Magesse na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature,
mkali wa Bongo Fleva, Banana Zorro na gwji kutoka Kundi la TMK Wanaume
Family, Chegge.
Chege
Jokate
RSS Feed
Twitter
August 08, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment