Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake,
Waziri Mkuu wa zamani na Mgombea Urais aliyepitishwa na CHADEMA pamoja
na Umoja wa UKAWA, Edward Lowassa alianza safari ya kuzunguka Mikoani kutafuta Wadhamini ambapo safari yake jana alianzia Mbeya.
Freeman Mbowe akisindikizwa na Vijana wa Red Brigade baada ya kufika kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya ambapo Mkutano wa CHADEMA ulifanyika.
Tulizipata pichaz za kwanza kutoka huko
na hizi ni nyingine pia ambazo zimenifikia nikaona nizisogeze hapa na
wewe uone kila kilichoendelea baada ya Mgombea Urais huyo kupokelewa na
watu wa Mbeya.
Mgombea Urais Edward Lowassa akipunga mkono kuwasalimia watu
waliojitokeza kwenye Mkutano huo Mbeya.
Camera za Waandishi wa Habari pamoja na watu waliojaa kwenye Viwanja hivyo kwenye Mkutano wa CHADEMA.
Baada ya kumaliza Mkutano huo, hapa ilikuwa time ya kuwaaga watu wa Mbeya.
Ziara ya Mgombea huyo Urais inaendelea
Mikoa mingine, August 15 ni Arusha.. Nitazisogea updates zote kila
zinaponifikia mtu wangu !!
RSS Feed
Twitter
August 15, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment