Baba wa Kim Kardashian ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke, ‘Caitlyn Jenner’.
New York, Marekani BABA wa Kim
Kardashian ‘Caitlyn Jenner’ ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa
mwanamke anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa sauti ili awe mwanamke
aliyekamilika.“Kila kitu nimefanikiwa isipokuwa sauti tu na hivi karibuni nitafanya operesheni, nashukuru watoto wangu lakini zaidi ni Kim Kardashian ambaye ananisapoti kwenye kila kitu,” alisema
RSS Feed
Twitter
August 07, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment