Wanamitindo, Happiness Millen.
LILE tamasha la burudani lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa la
Usiku wa Mastaa Temeke, linatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi kwenye
Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhiem jijini Dar
es Salaam.
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Tamasha hilo lina lengo la kuwazawadia mastaa mbalimbali wa hapa
nchini ambao wametoa mchango mkubwa katika kuiwakilisha vema Wilaya ya
Temeke na viunga vyake.Mratibu wa tamasha hilo, Richard Yalomba amesema mbali na kutoa zawadi kwa mastaa hao, pia siku hiyo kutatawaliwa na burudani za kutosha kutoka Kundi la FM Academia na Isha Mashauzi ambazo zitaanza saa moja usiku mpaka majogoo.
“Katika shoo hiyo, mashabiki wataingia ukumbini hapo kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi tu huku wakishuhudia burudani zote zitakazofanyika humo ndani,” alisema Yalomba.
RSS Feed
Twitter
August 07, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment