Sunday, July 19


a1 Wataalamu wa mambo wanasema kwenye ujenzi wa nyumba unaweza pia kutumia pesa kiasi lakini nyumba ikawa nzuri na yenye mvuto hata kushinda zile zilizojengwa kifahari lakini zikakosa mpangilio na mvuto vilevile.
Kwako mtu wangu unaependa nyumba, hii nyumba iko Poznan Poland ambapo kwa mvuto wake nina uhakika huwezi kukosa cha kuiga hata kama ni kochi, mapazia, sakafu, upangaji mzuri wa vitu kwa kufara rangi zinazoendana na ukuta, jiko linavyokuwa simple na vitu vingine mbalimbali.
a2
a3

a4
a5 a6
a7
a8 a9
a10
a11
a12

0 comments:

-