Sunday, July 19

Staa wa Wimbo wa Nimempata anayesumbua vichwa vya mastaa wa muziki wengi wa kike, Pamela Daffa ‘Pam D’ akingusha bonge la shoo Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar usiku huu.

Pam D akiwarusha mashabiki wake.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY‏ /GPL)

0 comments:

-