June 27, 2015
Unknown
Msanii mchanga kutoka Uganda Jeng Jeng ama Rihanna wa Uganda ambaye
alizoelewa kutupia picha zake za utupu ili tu awe staa kama Rihanna
amerudi upya mtandaoni na kwenye safari hii ameamua kuja na mipango
kabambe kuhkikisha kuwa anaiteka uganda kwa mambo atakayo yafanya kwenye
mitandao
Kwa kuanza amechia video yake moja akifanya majambozi kama kawaida yake iko hapa chini
Kama kifaa chako hakina uwezo bofya hapa chini
0 comments:
Post a Comment