Aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Nyerere ameingia kwenye list ya wagombea ubunge mwaka 2015
Akizungumza na waandishi wa habari alisema..’Kwanza
ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka,
nimekuwa mwanachama
wa chama cha Mapinduzi umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi
nina miaka 29 naelekea 30 lakini vilevile nimekuwa kamanda wa vijana
miaka 10 tawi la bwani kinondoni, nimekuwa mwamasishaji wa chama cha
mapinduzi kitaifa kwa muda wa miaka 10
Kwa
hiyo nataka kusema sijakurupuka na wala sijatamkia sifa kwasababu labda
nimeona mtu Fulani amegombea na mimi basi tu nigombee hapana nimeona
katika wilaya yangu ya kinondoni kuna matatizo kadhaa nani anaweza
kuyatetea hayo matatiizo basi mimi ndio nitakuwa mtetezi wa wilaya wa
Kinondoni pamoja na matatizo ya wasanii wetu, kuhusu kazi zangu za
filamu nitakuwa nafanya kama kawaida huku nikiwa natumikia kazi za
Bungeni’alisema
0 comments:
Post a Comment