Friday, March 13

Wema
Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz


Kumbe bwana ilikua ni video mpya ya Ommy aliyokwenda kuifanya South Africa na imemuhusisha Idriss wa BBA pia, itazame hapa chini alafu uniachie comment yako umeionaje mtu wangu, uigizaji wa Wema, Idriss na idea nzima ya video.


Kama umeelewa story ya hii video naomba uniachie comment yako mtu wangu Ommy atapita hapa baadae kujua watu wake wamemuandikia nini.
                                                ICHEKI HAPA

0 comments:

-