Friday, March 13

122038815__384646b 
October 21 2014 mwanariadha mlemavu wa miguu Oscar Pistorius alianza kutumikia kifungo cha miaka mitano jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa kumpiga risasi.

Tangu aanze kutumikia kifungo mwanariadha huyo story nyingi zimeingia kwenye headlines, ya leo inahusu rufaa yake kukataliwa ambapo mawakili wa Pistorius walikata rufaa ili mwanariadha huyo afutiwe mashtaka ya mauaji.
oscar
Uamuzi wa Jaji Thokozile Masipa umetolewa leo katika Mahakama ya Johannesburg Afrika Kusini.

0 comments:

-