Leo tunalea mtoto tumemuokota mama yake kamtupa.Ameokotwa mitaa ya nyumbani kwangu kwenye majani.
Tushampa jina anaitwa Comfort sio mimi nilompa jina lakini.
Mama wa mtoto huyu kamtupa amekesha usiku kucha kwenye majani akilia mpaka sauti imekauka.Ameng'atwa na mbu kila mahali kalikuwa kamejinyea kananuka pengine hakakuoga siku tatu.
Baada
ya kushiba usingizi maana amekesha manyasini.Huo uso ni mbu hizo.Mama
ake alimuacha na kirambo cha nguo chafu na kipande cha sabuni ili
watakaomuokota wafue na nguo mweeh!
0 comments:
Post a Comment