Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihuubia huku mkono
wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya
Mwembetogwa, mjini Iringa leo wa kuhitimisha ziara ya siku sita mkoani
Iringa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia
ufumbuzi.
Wananchi wakicheza kwa furaha wakati kikundi cha Bendi ya CCM, kikitumbuiza kwa wimbo wa Ilani ya Chama wakati wa mkutano huo.
kikundi cha Bendi ya CCM, kikitumbuiza kwa wimbo wa Ilani ya Chama wakati wa mkutano huo.
Ni furaha kwa kwenda mbele kadri muziki wa wimbo huo ulipokuwa unapigwa uwanjani hapo
Nape akifarijiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Amina Imbo wakati wa mkutano huo
Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga, akihutubia katika mkutano
wa hadhara na kuelezea mipango ya chama hicho kulikomboa jimbo la Iringa
linaongozwa sasa na Chadema.
Nape akishuka jukwaani baada ya kuhutubia katika viwanja vya Mwembetogwa, Iringa Mjini
Aliyewahi kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kalenga wa Chadema kura za
maoni, Sanga Abubakar akitangaza kuihama Chadema na kujiunga na CCM
wakati wa mkutano huo.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Mdillah Sekomu akitangaza kuachana na Chadema na kujiunga na CCM
Msemaji wa Bodaboda, Adam Kindole Mkoa wa Iringa, akielezea jinsi
wanavyonufaika na CCM kwa biashara yao ya kubeba abiria mjini
Waendesha Bodaboda wakishangilia risala iliyotolewa na Msemaji wa chama hicho cha waendesha pikipiki
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akihutubia katika mkutano huo
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha CCM, Daniel Chngolo akimuaga Kinana Uwanja wa Nduli akirejea Dar es Salaam.
Kinana akiagana na viongozi wa CCM uwanjani hapo
Kinan akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiingia kwenye ndege, tayari kwenda Arusha na hatimaye DSM
Kinana akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu
Ndege iliyombeba katibu mkuu
Viongozi wa chama na Serikali wakipungia mkono wakati ndege iliyombeba Kinana ikipaa
Sunday, October 12
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment