Friday, October 10


1. Rais Equardo Jose Dos
Anashika nafasi ya juu kwa marais wa Afrika kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 20. 2.Mohamed VII
Rais wa Morocco anamiliki utajiri w
a dola bilioni 2.5 za Kimarekani. 3.Teodoro Obiang Nguema
Rais wa Equatorial Guinea ana utajiri wa dola za Kimarekani milioni 600. 4. Uhuru Kenyatta
Rais wa awamu ya nne wa Kenya anamiliki utajiri wa dola za Kimarekani milioni 500. 5. Poul Biya
Rais wa Cameroon anatajwa kuwa na utajiri wa dola milioni200. 6. King Mswati III
toka nchini Swaziland anamiliki utajiri wa milioni 200 dola za Kimarekani. 7. Goodlucky Jonathan
Rais wa Nigeria ana utajiri wa dola milioni 100. 8. Idriss Deby
Rais wa Chad anasadikiwa kuwa na utajiri wa dola 50 milioni 9. Robert Gabriel Mugabe
Rais wa Zimbambwe utajiri wake unakadiriwa kuwa ni dola milioni 10.

WIKI iliyopita katika safu hii tuliwaletea wake wa marais wenye mvuto toka baadhi ya nchi za Afrika, leo tunawaletea orodha ya marais tisa wa bara hilo ambao ambao ni matajiri


0 comments:

-