October 12, 2014
Unknown
Mrembo Sitti Abbas Mtemvu ametangazwa sasa hivi kuwa ndiye Redds Miss
Tanzania 2014. Yeye alinyakua Redds Miss Chang’ombe na baadaye Redds
Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Habari kamili na picha kutafuata.
0 comments:
Post a Comment