Tuesday, October 21


Imefahamika
kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa
makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual
yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na
wanaume pia. Habari hizo kutoka huko jela zinasema kwamba msichana huyu
wa kibongo ambaye ameishi huko kwa muda wa Takribani Miaka zaidi ya 10
alianza kujifunza tabia hizo akiwa huko na mpaka kufikia sasa ambapo ni
gwiji kabisa wa vitendo hivyo ambavyo nchini Uganda adhabu yake ni
Kifungo cha maisha. Hatma ya msichana huyo mpaka leo bado kujulikana
lakini inasemekana kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa bongo na Serikali
hiyo. Stay tuned!!

0 comments:

-