Bugatti ni moja ya magari machache yenye gharama kubwa sana duniani ambayo mara nyingi humilikiwa na watu wenye kipato kikubwa tu ambapo kampuni inayotengeneza magari hayo imetoa matoleo matatu ya lengend edition na hii ya sasa hivi ndiyo ya mwisho kwenye edition hii.
Toleo hili la tatu yatatengenezwa magari matatu tu ambayo kila moja litauzwa kwa $3.14 million.
 RSS Feed
 Twitter
August 14, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment