Nawal aliambia mahakama kua alishauriwa kubeba pesa hizo na rafiki yake bila kumweleza zilikokuwa zinakwenda
Mahakama
 nchini Syria imefutilia mbali kesi ya mwanamke aliyeshitakiwa kwa madai
 ya kutorosha pesa kwenda Syria kwa kuzificha katika nguo ya ndani.
Mwanamke
 huyo kwa jina Nawal Msaad alituhumiwa kwa kutorosha pauni 15,800 ndani 
ya nguo zake za ndani kuingia nchini Syria, amefutiwa makosa baada ya 
kukosekana ushahidi.
Nawal
 Msaad, mwenye umri wa miaka 27, kutoka London, alisimamishwa katika 
uwan
ja wa ndege wa Heathrow alipokuwa anajaribu kupanda ndege kwuelekea mjini Istalbul nchini Uturuki.
ja wa ndege wa Heathrow alipokuwa anajaribu kupanda ndege kwuelekea mjini Istalbul nchini Uturuki.
Pesa hizo inadiwa alidhamiria kumpwa mwanamke raia wa Uingereza,nchini Syria.
 Mwenzake
 Amal El-Wahabi, mwenye umri sawa na wake, alituhumiwa kwa kosa la 
kujaribu kuingiza pesa Syria kimagendo kwa lengo la kufadhili ugaidi.
Viongozi wa mashitaka wanasema kuwa mumewe El-Wahabi alijiunga na wapiganaji wa kiisilamu nchini Syria.
Bi
 Msaad, alikuwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha Metropolitan mjini 
London akisema kuwa alikuwa amehadaiwa na mwenzake El-Wahabi.
Alisema alificha pesa hizo ili zisiibwe lakini akasema aliziingiza katika nguo yake ya ndani tu kwa sababau hiyo.
Mahakama
 ilimpata na hatia El-Wahabi kwa kumshawishi rafiki yake kubeba pesa 
hizo ili kumkabidhi mumewe aliye vitani nchini Syria.
Alipoachiliwa
 na mahakama aliangua kilio na kuondoka kwa haraka mahakamani huku 
mwenzake akipatikana na hatia na huenda akafungwa jela kwa miaka 14.
 RSS Feed
 Twitter
August 14, 2014
Unknown


0 comments:
Post a Comment