Kampuni moja ya nchini Japan imedai
kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa
mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya
ukweli.
Mdoli wa ngono
Orient Industry imesema ni ngumu
kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya
kwanza.
Midoli hiyo imepewa jina la ‘Dutch
Wives’, na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo
mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 (
zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja.
Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka
viungo ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika position atakayo.
0 comments:
Post a Comment