Watu sita wamefariki papo hapo na
wengine 12 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya iliyohusisha magari manne
iliyotokea eneo la Makongo karibu na hospitali ya Lugalo Dar es salaam.
Baadhi ya mashahuda wa ajali hii wamesema kuwa imesababishwa na
uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa
kupita upande usio wake.
0 comments:
Post a Comment