Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja
inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema
na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu
Dengue ni Team tofauti na ile ya Wema , Ki ukweli Imesikitisha Wengi
sana ....Baada ya Watu wengi kulaani hicho kitendo Mwenye Account hiyo
ali delete picha lakini akawa imeshasambaa sana kwa watu ...
Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu:
Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu:
0 comments:
Post a Comment