Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule
za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi
umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya
Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.
Thursday, June 19
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment