Mara
nyingi inatokea kwenye matukio ya kawaida tu lakini kinachofanya iwe
stori ni umri mdogo alionao mtoto alafu akafanya vitu vinavyofanywa na
Wazazi wake au wengine waliomzidi umri kwa urefu mwingi.
Hii ilitokea baada ya mtoto William Stokkebroe kuona wazazi wake na dancers wakifanya yao kisha na yeye bila aibu wala woga akaingia kwenye dancing floor.
0 comments:
Post a Comment