Wahenga
washasema kila kizuri kina kasoro zake! Hili linajithibithisha baada ya
mitindo hii ya map#nzi inavyoambatana na athari na madhara kedekede yakiwemo
maradhi ya kuambukiza na magonjwa ya zinaa kwa wale wenye kuwa nayo!
Duuh! Haya basi hii ni orodha ya magonjwa ya zinaa ambayo huambukizwa
kupitia kulambana na kunyonyana Sirini:-
1. Gonorrhea
Hili
huanzia katika koo la muambukizwaji, na mwanzoni huhisi kama ni ukavu
wa kifuu au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadae hushuka na kuelekea
katika viungo vya uzazi
2. Syphilis
Huu huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdoma na hasa pale inapotekea mdomo ukutana na kiungo chenye athari hizo.
Huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalali kwa muda mrefu
Huu huambukizwa kama HIV vile maana virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu.
6. Hepatitis C
Huu hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu!
Pia
kuna hatari za kupata HIV/AIDS kupitia staili hizi japo kwa uchache
sana. Kwa sas nchi za watu wamebuni aina fulani ya C0nd0m ambazo
huvaliwa katika mdomo hivyo kupunguza hatari ya kupata madhara tajwa
hapo juu! Ila kwa nchi zetu bado sijasikia! Sasa utamu ndo huo na
madhara ndo hayo, akili kumkichwa!
0 comments:
Post a Comment