MASTAA wa Bongo Muvi wamemlilia msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho'
aliyefariki jana saa mbili usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na
baadaye yeye akafariki.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve ‘Nyerere’, mwili wa Rachel utasafirishwa kwenda kwao Songea kwa ajili ya maziko. Habari nyingine za msiba zitatolewa wakati wowote na mtandao huu mara tu zinapopatikana.

RSS Feed
Twitter
May 27, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment