Mtu wangu wa nguvu bado nakusogezea
ubunifu na vitu mbalimbali ambavyo kwa nchi za wenzetu hupendelea
kufanya, hii ni miji iliyojengwa kwa ustadi mkubwa sehemu mbalimbali
duniani. Imenivutia mtu wangu nikaona nikusogezee ustadi wa hii miji
iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe, kwa harakaharaka kama pangekuwa
hapajajengwa ilikuwa ni ngumu kwa mtu kukubali kuchukua kiwanja hata
kama angepewa bure. Hizi ni pichaz za miji 10 iliyojengwa kwenye miinuko
ya mawe. Hii ni list kutoka worldtoptop.com na inatajwa kama ni miji 10 inayovutia iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe.
10- Azenhas do Mar, Ureno
9- Cinque Terre, Italia
8- Tropea, Italia
7- Cuenca, Hispania
6- Positano, Italia
5- Rocamadour, Ufaransa
4- Polignano a Mare, Italia
3- Ronda, Hispania
2- Kijiji cha Haid Al-Jazil- Wadi Dawan, Yemen
1- Constantine, Algeria
0 comments:
Post a Comment