Congratulation kwa kila mtu wangu ambae yeye na elimu ni damu damu, ninayo ripoti kutokea chuo kikuu cha SAUT Mwanza 88.1, leo kwa mara ya kwanza wameiandika historia ya kutunuku ngazi ya elimu ya PhD.
Naambiwa toka chuo kimepewa heshima ya kuwa Chuo Kikuu cha Tanzania mwaka 1998 mpaka leo hakijawahi kutunuku ngazi ya PhD, waliopewa heshima ni wanawake wawili Dr Joyce Bazira na Dr Kaale Kaanael, wamehitimu Shahada ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma, ripota wa millardayo.com kazipata picha kutana nazo.
Wahitimu wa PhD ya kwanza chuo cha SAUT Mwanza.
Wanahabari kazini
Ikafika zamu ya wahitimu wa Masters kutunukiwa
Watu wangu na elimu ya Masters
Wahitimu wa Masters kwenye heshima
Wa pili kushoto ni Erick Ngwengwe goli kipa wa Toto Africa ya Mwanza, nae kala Masters
Dr Joyce Bazira akitunukiwa PhD yake
Mbele kushoto mgeni rasmi Dr Rev. Deusdedit Rwoma, Askofu wa Musoma
Mtu wangu na shangwe la PhD
Wazazi nao kwenye shangwe
Dr Kalaale Kaanael, muhitimu wa PhD
Wahitimu wa Shahada (Degree) wakisubiri kutunukiwa
Wahitimu wa kwanza wa PhD SAUT Mwanza.
Mwanamke mwenye PhD ya Mawasiliano ya Umma
0 comments:
Post a Comment