Mhandisi wa Umeme katika Chuo cha Ufundi Arusha,Merchior Urbanus(kushoto)akimwelekeza jambo Balozi wa Norway wakati akitembelea eneo la Kikuletwa. |
Balozi wa Norway nchini Tanzania ,Hanne -Marie Kaarstad akifurahia madhari ya Kituo cha Kikuletwa, amehaidi kuendelea kusaidia sekta ya nishati hapa nchini. |
Moja ya chanzo cha maji ambacho pia hutumika kama sehemu ya utalii kutokana na maji yake kuwa ya vuguvugu muda wote. |
Balozi
wa Norway nchini Tanzania ,Hanne -Marie Kaarstad(wa tatu kutoka
kulia)Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika wakiwa katika picha ya pamoja
na Manaibu Wakuu wa Chuo hicho na maafisa wa Ubalozi wa Norway nchini
katika picha ya pamoja leo. Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com |
0 comments:
Post a Comment