Shirika la ndege ya British Airways wamekuja na ndege yao mpya aina ya 787-9 Dreamliner.
Uongozi wa Shirika hilo umeweka video ya
behind the scenes wakati ndege hiyo ikiundwa kiwandani kwao ambapo
katika video hiyo imechukua dakika mbili kukamilika.
Wamesema ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba
abiria 290 itaanza safari zake mwezi huu kuanzia Delhi kwenda Abu Dhabi,
Muscat, Austin na Kuala Lumpur.
Pia ina uwezo wa kutembea mile 8,200
Ujio wa ndege yao nyingine kama hiyo Dreamliner787-10 unatarajia kuanza kazi mwaka 2018.
0 comments:
Post a Comment