Thursday, October 15


Capture
11755740_966295243392290_3967340046753984826_n
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz'.

Bollywood star Priyanka Chopra poses in a hotel room as she promotes her film, "Mary Kom" at the 2014 Toronto International Film Festival in Toronto on Thursday, Sept. 4, 2014. (AP Photo/The Canadian Press, Chris Young)
Muigizaji wa filamu, muimbaji na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra.
STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa kuchuana na muigizaji wa filamu na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra katika tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) katika kipengele kimoja cha ‘Best Worldwide Act: Africa/India’.
Diamond  amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zitakazotolewa Oktoba 25, 2015 jijini Milan, Italy.
Kumpigia  kura Diamond Bonyeza hapa >>> VOTE

0 comments:

-