Mapacha wawili, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye,
Dunia inawafahamu kwa jina la P Square kupitia sanaa ya muziki
wanaoufanya… kwenye moja ya Interview wakiwa Nigeria waliwahi kusema
moja ya vitu wanavyoviogopa sana ni UMASKINI !! Hicho kinawafanya
wajitume sana kwenye kazi yao.
Unaambiwa mwaka 2014 jamaa walinunua
nyumba mbili za kuishi ndani ya Atlanta Marekani… lakini story kuhusu
wao kwa siku ya leo inahusu jamaa kununua apartment nyingine tatu, yani
ndani ya ghorofa moja kuna apartment zao tatu ambazo wamezinunua kwa
ajili ya makazi yao, Peter, Paul na kaka yao ambae ndio Manager wao pia, Jude ‘Engees’ Okoye.
0 comments:
Post a Comment