Sunday, September 6


Kuna usemi unaosema duniani watu wawili wawili kwa maana ya kuwa kila mtu duniani ana mtu aliyefanana naye. Huenda ukawa hujawahi kuonana na mtu unayefanana naye ila huwa inaamika kuwa yupo tu sema bado haijatokea bahati ya nyinyi kukutana. Septemba 6 nakusogezea hii list ya mastaa wa soka na filamu wanao fanana.
tumblr_mls7siviiJ1rrzrk2o1_500
Angel Di Maria kushoto anafanana na muigizaji Dev Patel.
tumblr_m1m0xsqae51rrzrk2o1_500
Lionel Messi anatajwa kufanana na muigizaji Dustin Hoffman
tumblr_ml15sbVgP31rrzrk2o2_r1_500
Staa wa Senegal Demba Ba anatajwa kufanana na Tyrese Gibson
tumblr_mxkd4xW4Hl1rrzrk2o1_500
Olivier Giroud wa Arsenal anafanana na Errol Flynn
tumblr_mov5zyfnYU1rrzrk2o1_500
Kolo Toure yeye anafanana na staa wa movie ya Mandela Idris Elba
tumblr_mp8any31Wn1rrzrk2o1_500
Fred kutokea Brazil anafanana na Dustin Diamond
tumblr_mo5yhdzM9h1rrzrk2o2_r1_500
Fernando Torres kutokea Atletico Madrid anafananishwa na Sacha Baron Cohen

0 comments:

-