Sunday, September 6



Mindombinu bora ni mj aya sababu inayofanya miji kukua kwa kasi sana hasa kwa nchi zinazoendelea  duniani.
Katika pitapita zangi nimekutana na hizo hoteli kubwa na Maarufu duniani ambazo nyingi zilijengwa wakati wa vita ya dunia lakini mpaka sasa ni miongoni mwa hotel za kifahari kabisa duniani.
Zote zimekuwekea hapa na miaka iliyojengwa hoteli hizo
HOT1
The Taj Mahal Palace ipo Mumbai, Chinaalijengwa mwaka 1903

HOT2
Beverly Hills Hotel ipo Los Angeles, ilijengwa mwaka 1912

HOT3
The Ritz ipo Paris, Ufaransa-ilijengwa mwaka 1898

HOT4
Peninsula ipo Hong Kong, China-Ilijengwa mwaka 1928

HOT5
The Plaza ipo New York,Marekani-Ilijengwa mwaka 1907

HOT6
Raffles Hotel ipo Singapore-ilijengwa miaka 125 iliyopita

HOT7
Claridge Hotel ipo London, Uingereza-Ilijengwa mwaka 1898 wakati wa vita ya pili ya dunia

HOT8
The Ritz Hotel ipo London, Uingereza-Ilijengwa mwaka 1906

HOT9
Shelbourne Hotel ipo Ireland-Ilijengwa mwaka 1824

HOT100
The Waldorf ipo New York, Marekani-Ilijengwa mwaka 1890

0 comments:

-