Friday, August 7

Kahn-INLINE1-626x382
Lori au gari kubwa la mizigo kuwa na matairi mengi zaidi ya manne au sita ni kawaida, lakini ikitokea gari ndogo ambayo wengine wanatumia kwa ajili ya matembezi ikiwa na matairi mengi, duh.. hata muonekano wake ni story !!
Hii ni Land Rover Defender “Flying Huntsman” 6×6, bei yake ni Dola 310,000/= (Kama Tshs. Mil. 650), na zimetengenezwa chache kabisa na kuingizwa sokoni mwaka 2015.
3X6A9441
Hapa ni ndani, kuko poa kabisa yani !!
flying-huntsman-land-rover-price-1
Icheki kwa mbele mtu wangu.
flying-huntsman-land-rover-price-2
Land Rover ni moja ya magari ambayo yako kwenye headlines kwa muda mrefu zaidi Duniani, gari ngumu na zinazodumu sana.. ukiiangalia hata hii utajua kabisa kwamba YES jamaa wameiunda kama gari ya kazi hivi ila bado unaweza kujiachia nayo hata kwenye kula bata !!
28EE847A00000578-3091240-image-a-5_1432219187625

0 comments:

-