Wizara ya afya nchini kenya imetoa orodha ya peremende, keki na biskuti bidhaa ambazo inadai zimewekwa bangi.
Katika
kile ambacho kinatarajiwa kuwashanga wazazi, barui ambayo ilitiwa
sahihi kwa niaba mahabara ya serikali, ilisema kuwa baadhi ya sampuli
176 zilizochukuliwa kwa peremende maarufu , keki na mandazi zilipatikana
zikiwa na bangi baada ya kufanyiwa uchunguzi.Tuesday, August 18
August 18, 2015
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RSS Feed
Twitter
0 comments:
Post a Comment