Monday, August 17

Screen Shot 2015-08-17 at 4.34.40 AM
Diamond Platnumz na crew yake wakati wa kuingia kwenye party
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni Ndugu yake na msanii Diamond Platnumz lakini pia ni Official Dj wake alifanya Party yake August 16 2015 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
Diamond Platnumz ambaye ni ndugu pia ni rafiki wa karibu na Romy kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kusheherekea party hiyo….. na kwenye list ya mastaa waliotokea walikuwepo pia Barnaba, Vee Money, Queen Darleen, Pipi, Aunt Ezekiel, Jux, Kamikaze, TID, Madee, Shilole, na wengine.

Unaweza kucheki pichaz ambazo mtu wako wa nguvu nimekusogezea uzicheki na usipitwe pia.
Screen Shot 2015-08-17 at 4.34.47 AM
Barnaba, Diamond na Romy  Jones kwenye pozi la picha
Screen Shot 2015-08-17 at 4.34.55 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.35.08 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.35.18 AM
Manager wa Diamond Babu Tale, Madee, na Dj K Man wakipiga story wakati wa party
Screen Shot 2015-08-17 at 4.35.40 AM
DJ Zero na Madee story zikiendelea kwenye Party
Screen Shot 2015-08-17 at 4.35.52 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.36.04 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.36.14 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.36.24 AM
Majina yao ni Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na Elizabeth Michael aka Lulu.
Screen Shot 2015-08-17 at 4.36.32 AM
Barnaba na Pipi pamoja na watu wao wa nguvu pembeni.
Screen Shot 2015-08-17 at 4.36.42 AM
Aunty Ezekiel na Moze Iyobo wake.
Screen Shot 2015-08-17 at 4.36.56 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.37.07 AM

Screen Shot 2015-08-17 at 4.37.14 AM
Screen Shot 2015-08-17 at 4.37.32 AM
Happy day kwa watu wa nguvu, Madee, B Dozen wa XXL @CloudsFM, Cyrill Kamikaze, Jux na Shadee wa Clouds TV
Screen Shot 2015-08-17 at 4.37.41 AM
Vee Money akienjoy.
Screen Shot 2015-08-17 at 4.37.51 AM
Mchekeshaji Stan Bakora na Lulu wakiwa kwenye pozi lao poa kabisa.

credit:millard

0 comments:

-