NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, ambaye wimbo
wake wa ‘Ojuelegba’ unatamba baada ya kumshirikisha rapa Mmarekani,
Drake, amesema mwanzoni alikuwa ametaka kumshirikisha rapa Rick Rose,
lakini Drake ndiye aliyewahi kuwasiliana naye ili ashiriki kwenye wimbo
huo.
Katika
mahojiano yake na vyombo vya habari, mwanamuziki huyo aliyezaliwa eneo
la Surulere jijini Lagos, alisema Drake aliwasiliana naye kwenye
mtandano wa Instagram na walipokutana jijini London, aliurekodi wimbo
huo.
Views: 130
RSS Feed
Twitter
July 22, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment