Bado watu wanasubiri kusikia Jina la Mgombea Urais ambaye atatajwa na CCM, Kikao kimeendelea na bado jina halijatajwa.
Nimefanikiwa kupata video za hawa wanne mbele ya camera na vinasa sauti vya waandishi wa Habari, Edward Lowassa na William Ngeleja… pia yupo Bernard Membe na January Makamba.
Haya wameyasema leo baada ya majina matano yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya CCM kuwa yameshatajwa.
0 comments:
Post a Comment