Monday, July 6


Screen Shot 2015-07-06 at 4.24.26 PM

Kesi iliyokuwa inawakabili Basil Mramba, Daniel Yona na Agrey Mgonja kuhusu matumizi mabaya ya madaraka imetolewa hukumu leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.
Daniel Yona na Basil Mramba waehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya Milioni tano kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya makosa 11, Grey Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.
Screen Shot 2015-07-06 at 4.23.50 PM
Basil Mramba, Daniel Yona na Grey Mgonja wakiwa nje ya mahakama ya Kisutu kusubiri kuingia ndani
Screen Shot 2015-07-06 at 4.23.59 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.24.06 PM
Familia ya Daniel Yona na Basil Mramba wakiingia Mahakamani
Screen Shot 2015-07-06 at 4.24.16 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.24.35 PM
Daniel Yona akiagana na rafiki zake
Screen Shot 2015-07-06 at 4.24.45 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.24.53 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.03 PM
Basil Mramba akiingia ndani ya Gari ya Polisi kuelekea gerezani.
Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.14 PM
Daniel Yona akiingia ndani ya gari ya Polisi kuelekea Gerezani.
Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.23 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.31 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.42 PM
Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.50 PM
Gari ya polisi iliyobeba watuhumiwa ikitoka nje ya Mahakama ya Kisutu.

0 comments:

-