Sunday, July 19


Screen Shot 2015-07-19 at 8.51.20 AM
Grace Matata jukwaani
Wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wasanii wengi pia walisimamisha kabisa kufanya show, jana July 18 2015 ilikuwa Sherehe ya Eid el Fitr ambapo ilikuwa ni sherehe kuonesha kwamba ndio siku ya kusherehekea kumaliza mfungo.
Imekuwa ni bahati kuwashuhudia baadhi ya mastaa wenye majina makubwa kuwakuta kwenye stage moja wakitoa burudani, jana stage ya Leader Club imekuwa sehemu ambayo imeandika Historia hiyo kubwa kwa kuwakutanisha akina Juma Nature, Fid Q, Barnaba, Grace Matata na Mwasiti.
Tamasha limepewa jina la Music Planet, cheki pichaz za burudani yenyewe.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.51.27 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.51.35 AM
Juma Nature na Stopa kwenye stage akikumbushia za longtime
Screen Shot 2015-07-19 at 8.51.43 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.51.52 AM
Upcoming artists Iceboy akiwakilisha watu wa Hip Hop
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.01 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.08 AM
Barnaba na Band yake kwenye stage.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.15 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.26 AM
Mpiga drums toka THT, Ezekiel
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.33 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.41 AM
Mwanadada Mwasiti naye hakuwa mbali..
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.50 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.52.59 AM
Rapper Fid Q kwenye stage akisema na watu wake.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.53.07 AM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.53.17 AM


0 comments:

-