Thursday, July 30

3X6A9378
July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA…. Tayari kafika Makao Makuu ya Ofisi za CHADEMA, Kinondoni Dar es Salaam na kuchukua Fomu ya Kugombea Urais kupitia Chama hicho.
Hizi ni pichaz pamoja na maneno waliyoongea Mbunge Freeman Mbowe, Tundu Lissu pamoja na Edward Lowassa mwenyewe!!
3X6A9380
Kikosi cha Ulinzi CHADEMA wakiwa nje ya Makao Makuu ya Chama hicho.

3X6A9389
Mbunge Mchungaji Peter Msigwa akiongea jambo na mwandishi wa Habari.
3X6A9582
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wakionesha Kadi za Kupigia Kura.


3X6A9379 3X6A9384 3X6A9407 3X6A9457 3X6A9460 3X6A9464 3X6A9465 3X6A9480 3X6A9486 3X6A9578 AW1A9384

0 comments:

-