Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.
Mastaa wa Bongo Movie nao walijitokeza kumpa support ya nguvu mtu wao.. alikuwepo JB, Wastara, Stara Thomas, Thea, Bi Mwenda, Ray Kigosi na wengine… lakini kulikuwa na burudani ya Twanga Pepeta.
0 comments:
Post a Comment