May 2015 ulikuwa mwezi
ambao tulishuhudia maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha
mfululizo Dar… mara nyingi hivi vitu vikitokea huku kwetu watu hawaamini
kama hata nje ya TZ nako huwa vitu vinatokea hivyohivo.
Mafuriko yametokea China, hapa unaweza kuona kwenye picha hali ilivyokuwa baada ya balaa la mafuriko kuwakuta.
Hivi
ndio ilivyokuwa kwenye Chuo kilichopo Nanjing, Jimbo la Jiangsu ndani
ya China… Watu zaidi ya 65,000 wameathirika kutokana na mvua hizo.
Hii
ni sehemu ya familia zilizoathiriwa na mafuriko, hapo wamepata hifadhi
ya muda Dingyan Primary School, iliyopo Jiji la Changzhou China.
Familia nyingine zilizopata hifadhi katika Shule ya Msingi. Watu wamelazimika kulala madarasani
Bibi mwenye umri wa miaka 70 akitokwa machozi baada ya kuokolewa kwenye nyumba iliyokumbwa na mafuriko.
Hawa jamaa nao wako kwenye harakati za kujiokoa
Mwonekano wa mtaani nyumba zimefurika maji
Kikosi cha Waokoaji wakiwa wamembeba mmoja ya watu toka kwenye nyumba zilizofurika maji
Nao wamepumzika baada ya kupata hifadhi kwenye Shule ya Msingi.
Hali ilivyo kwenye mitaa mingine katika Jiji la Sichuan, China.
Pichaz zote zimepigwa jana JUNE 28 2015.
0 comments:
Post a Comment